Nobody can act like me I can fall to pieces and make you believe almost anything. I'm the one stepping out and breaking all the rules (all alone) I'm gonna show everybody what I can do.
Sunday, June 10, 2012
Friday, June 8, 2012
FAHAMU ALAMA ZINAZOTUMIWA NA DEVILS WORSHIP
FAHAMU ALAMA ZINAZAOTUMIWA NA DEVILS WORSHIP
FREEMASONS (WAJENZI HURU)
A: UTANGULIZI
Ufunuo 13:1:
“Kisha
nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa
saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake
majina ya makufuru Ufu. 13:1
Majina ya makufuru (Name of blasphemy):
· Kudai kusamehe dhambi ni kufuru. Marko 2:5-7
Kisanduku cha kitubio katika kanisa Katoliki kinafahamika ulimwenguni pote kama ni mahali watu huenda kwa ajili ya kusamehewa dhambi zao na makasisi. {Confessional
box of the Catholic Church is known throughout the world as the place
where people go to have their sins forgiven by priest. Bill Hughes. The Secret terrorists (2002:141)}
· Kudai uungu ni kufuru. Yohana 10:33
Papa ana heshima kuu na kutukuka kiasi kwamba si mtu tu, lakini ni kama Mungu na muwakilishi wa Mungu. {The pope is of so great dignity and so exalted that he is not a mere man, but as it were God and the Vicar of God. Lucius Ferraris, Prompta Bibliotheca Vol. 6 pp 438}
Ufunuo 13:2
“Na yule mnyama niliyemuona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi. “The dragon gave him his power, and his throne, and great authority.” Revelation 13:2
Inaonekana wazi Yohana ameunganisha wanyama watatu wa Daniel 7:2-7 waliokuwa wanatoka baharini mmoja baada ya mwingine, kwa mnyama mmoja mfano wa Chui.
· “Kinywa chake kama kinywa cha simba”-Simba anatambulishwa kama alama ya nguvu ya wababeli.
· “miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu”- dubu kama alama ya Waamedi na waajemi; miguu ya dubu ina nguvu sana ikiwa na makucha makali. Kama ilivyo, aweza kuitumia kutembelea, kusimama wima, kupandia au kukamatia chochote
· “alikuwa mfano wa chui”
Chui kama alama ya Wamakedonia (Wagiriki) huwakilisha wepesi,ukali na ukatili (agility, ferocity and cruelty)
Kwa
hiyo mnyama huyu kifupi, anatisha, anawakilisha Urumi/Upapa ambao hapa
unabeba tabia za wanyama wale watatu, simba, dubu na chui akiwa wa
kutisha, mwenye guvu sana, mwepesi, katili na mkali.
Fungu linasema “joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi “
Joka ni nani?
“nyoka yule wa zamani, ibilisi na shetani “ ufu 12:9
“muuwaji tangu mwanzo …baba wa uwongo” Yoh 8:44
Joka akampa yule mnyama:-
· Nguvu zake (power):
Hivyo upapa una nguvu za kishetani.
· Kiti chake cha enzi (throne): (Yohana 12:31, 14:30,16:11 ...mkuu wa ulimwengu huu..)
kiti
hapa kinamaanisha ukuu au mamlaka au utawala, na enzi ya Joka ni
kipindi cha kuasi kwa mwanadamu hadi ukombozi wa mwanadamu; hivyo
shetani anampa mnyama ukuu/utawala wake juu ya walimwengu. Upapa unepewa
ukuu/utawala wa kishetani juu ya walimwengu!!!
· Uwezo mkuu/mwingi (great authority):
Umakini unatakiwa kuelewa kuwa upapa una uwezo mwingi wa kishetani kuliko watu wengi wanavyodhani.
B: CHANZO CHA UJENZI HURU (Freemasonry) WA KISASA
Kulingana na nukuu mbalimbali inaelezwa waziwazi kuwa chanzo cha wajenzi huru (freemason) wa kisasa ni Jacques de Molai na Hermes, ambaye kifupi ni shetani (..\..\Pictures\Chanzo.png). Nukuu nyingi zitatoka katika kitabu cha Morals and Dogmas cha Albert Pike...\..\Pictures\Albert Pike.png maana ni kitabu chao. Kitabu hiki cha Morals and Dogmas kinachukuliwa
ni msingi mkuu wa theologia ya freemasonry na kwamba kitabu hiki hupewa
freemasons wa ngazi za juu tu na inapotokea aliyenacho amekufa ni
lazima kitabu hicho kurudishwa kwenge Lodge. Sirahisi kukipata.
Katika kitabu chake cha Morals and Dogmas, Albert Pike(..\..\Pictures\Lodge mwanzilishi.png anasema kuwa katika karne ya 17 ‘chief of doomed order au Grand master’ ambaye alikuwa templar, Jacque de Molai,
aliweza kuanzisha na kutengeneza kile kilichokuja kuitwa Occult,
hermetic, au Scottish masonry akiwa yuko jela, na kwamba wakati huo
alianzisha Metropolitan Lodge nne katika miji ifuatayo
· Naples kwa ajili ya Mashariki
· Edinburg kwa ajili ya Magharibi
· Stockholm kwa ajili ya Kaskazini
· Paris kwa ajili ya kusini
Vifupi
vya majina yake, JBM, huyu Jacque de Molai vinapatikana katika degree
tatu za mwanzo ikiwa ni ishara na uhakikisho wa ndani wa ujenzi huru wa kisasa (modern freemasonry) kuwa yeye ndiye mwanzilishi. A. Pike, Morals and Dogmas pg 820).
Ujenzi
huru (freemasonry ) ulibeba na kuwa na misingi na kanuni kama za
templar kwa kuwa na doctrine mbili, moja iliyojificha na kwa ajili ya
watu maalum tena wachache,wakiitwa masters (esoteric) na nyingine kwa
ajili ya wote (exoteric). A.Pike, Morals and Dogmas pg 817
Kwa
haraka haraka huwezi kuona uhusiano wa mwanzo huu na uwepo wa mkono wa
upapa lakini ukiwa makini utatambua kuwa Hermes, ambaye Petrovna Blavastsky katika kitabu chake Isis Unvailed, anaunganisha na kusema Hermes ni shetani. Na kama ni shetani nasi tumeelezwa waziwazi katika unabii na Yohana kuwa “joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi “ yule mnyama; basi mkono wa upapa ulikuwa katika mwanzo huu wa Ujenzi huru (freemasonry)
Kunauthibitisho wa kutosha kuwa uwanzishwaji wa Ujenzi huru
wa kisasa(Freemasonry) huu una mkono wa upapa na hususan kupitia Jesuit
order kama ilivyo katika uwanzishwaji wa madhehebu mbalimbali, uislam,
tasisi kubwa kubwa duniani, matukio makubwa karibu yote, mkono wa
mnyama haukosekani; kwa mfano, Jehova Witness, Kanisa la Yesu Kristo la
siku za mwisho (Church of Jesus Christ of the latter days )..\..\Pictures\Mammon.png,
Uislam, Umoja wa Mataifa na tasisi zake,vifo vya watu mashuhuri
duniani, vita kuu vya dunia vyote, n.k. Bill Hughes amebainisha sana juu
ya haya katika kitabu chake cha The Secret Terrorists.
John Daniel, yeye katika kitabu chake cha The Grand Designer Exposed, uk 302, anasema “Ukweli ni kwamba, Jesuits wa Rome wameukamilisha Ujenzi huru (Freemasonry) chombo chao kilichotukuka na chenye ufanisi katika kukamilisha malengo yao miongoni mwa waprotestant”..\..\Pictures\JD.png
C: MJENZI HURU NI NANI
Yesu anajisema kuwa yeye ndiye “kweli, njia na uzima” na kwamba hakuna atakayemuona Mungu pasipo Yeye (John 14:6). Aidha mwandishi wa kitabu cha Matendo, (Matendo 4:12),
anabainisha wazi kuwa hakuna wokovu katika mwingine, isipokuwa YESU
KRISTO. Kinyume kabisa na Biblia inavyosema inasemekana Mjenzi huru wa
kweli yeye hafungamani na aina fulani ya imani ( not creed-bound) ila
kama mjenzi, dini yake ni ya kijumla; majina kama Kristo, Buddha, au
Mohammed si ya maana sana maana yeye huyu mjenzi huru hutambua tu nuru
na wala si mbebaji. Yeye husali popote,iwe kanisani, hekaluni, msikitini
au popote akijali ukweli wa kuelewa kwake umoja wa ukweli wa kiroho. (Manly Palmer Hall, The Lost Keys of Freemasonry, pg 65) (..\..\Pictures\Mason anavyokuwa.png)
Norman Vincent Peale katika jalada la Masonic Scottish Rite ..\..\Pictures\Norman.png, ansaema Ujenzi huru hukaribisha mtu mwenye imani yoyote na dini yoyote kwenye malango yake na kitu muhimu ni watu wema kuamini katika Mbunifu mkuu na katika kutokufa kwa roho. Kumbuka: “nyoka akamwambia mwanamke. Hakika hamtakufa” Mwanzo 3:4
Siri za wajenzi huru hufichwa kwa wote isipokuwa kwa wale ambao ni, wenye akili sana, busara na wateule (its for adepts and sages or the elect),..\..\Pictures\Siri.png na
hutumia maelezo ya udanganyifu na hutoa maana potofu ya alama zao ili
kuwapotosha wale ambao wanastahili kupotoshwa; hufichwa ukweli na
kupelekwa mbali na ukweli. Wanasema, ukweli si kwa wale ambao hawana
thamani au ambao hawawezi kuupokea. (M&D pg 104-105) ..\..\Pictures\Mislead.png Aidha
sehemu za alama zao huoneshwa kwa wanaoanza lakini kwa makusudi
wanapotoshwa kwa kupewa tafsiri potofu. Haikusudiwi azielewe alama hizo
ila inakusudiwa afikirie anazielewa. (M&D pg819). Biblia haina matabaka ya wafuasi, wafuasi wote tunaambiwa na Yesu kwamba tutaijua kweli nayo hiyo kweli itatuweka huru Yohana 8:32 na kwamba hakuna huyu anatoka wapi na ni nani, wote sawa katika kujua kweli ya kuokolewa na kuokolewa kwenyewe Warumi 10:12
Mjenzi
huru hufundishwa kuwa ukombozi na wokovu ni nguvu na wajibu wa mtu
binafsi na kwamba binadamu ni mwokozi na mkombozi yeye mwenyewe. (Lynn Perkins. The Meaning of Masonry pg95)
Mifano ya watu mashuhuri ambao ni freemasons au walipata kuwa:
Upande wa kidini :..\..\Pictures\Church Leaders.png
1. Mwanzilishi wa Jehova Witness Charles Taze Russell
2. Mwansilishi wa Kanisa la Kristo siku za mwisho Joseph Smith
3. Mhubiri mkuu wa Merekani, Billy Graham
4. Mchungaji maarufu Jesse Jackson
5. Mchungaji na mwendeshaji wa kipindi kwenye TV cha Hour of Power wa kanisa la Crystal Cathedral, Robert Schuller
Upande wa wanasiasa:..\..\Pictures\Polical Leaders1.png,..\..\Pictures\Political leaders2.png
1. George W. Bush, Rais wa zamani wa USA
2. Saddam Hussein, Rais wa zamani wa Iraq
3. Tony Blair, waziri mkuu wa zamani wa Uingereza
4. Billy Clinton, rais wa zamani wa USA
5. Hillary Clinton, Waziri wa mambo ya nje wa USA
6. Yasser Arafat, Rais wa zamani wa taifa la wapalestina
7. Shimon Peres, waziri mkuu wa Israel
8. Yatzik Rabini, waziri mkuu wa Israel
9. Michail Gorbatjov –Waziri mkuu wailiyokuwa USSSR
Karibu nyanja zote utawakuta, iwe katika sayansi, biashara, sheria nk ..\..\Pictures\Mixed leaders.png
D: UMAKINI UNATAKIWA
· Alama:
Bikari na kipima pembe mraba





Pentagram: Nyota yenye pembe tano
Kwa wachawi, iliyopinduliwa ina kazi moja tu, kuita nguvu au uwezo kwa shetani ..\..\Pictures\Pentagram.png Pentagon, makao makuu ya jeshi la Marekani, USA yamejengwa na Wajenzi huru!!!
Jicho lionalo yote (All Seeing Eye): 
Alama hii huonekana pengi lakini zaidi kwenye note ya Dola ya kimerikani

Mitsubishi, Voks wagon
Kusalimiana kwa mkono (Handshake)
Ishara ya vidole

kutoka hapo huwasha mianga mingine kama ilivyofanyika wakati wa jumuisho ya dini mabalimbali duniani zilipokusanyika kule Rome
· Mafundisho ya mitego
Pantheism: kuamini kuwa Mungu hupatikana katika vitu na imani tofauti tofauti, sawa na kusema njia tofauti lakini kufikia lengo moja ..\..\Pictures\Pantheism1.png, hii ni kinyume na maandiko matakatifu, wanadamu tunaokolewa kwa njia moja tu, imani ya Yesu (Matendo 4:12)
Roho Kutokufa:
Imani hii kama ilivyoanzishwa na yule baba wa uongo pale Eden
imeingizwa katika imani mbalimbali na hata katika baadhi ya watu wa
Mungu kwa ufundi mkuu na hawa hawa freemasons.Biblia iko wazi sana kuwa mtu hai ni muunganiko wa mavumbi na roho(pumzi ya Mungu) (Mwanzo 2:7) na mtu huyu akifa hawezi tena akawepo maana muunganiko huo haupo tena (zaburi 104:29; Mhubiri 12:7) kila
kitu kina rudi kilipotoka kama kilivyokuwa awali, mavumbi (kwa maana ya
mwili) unarudi udongoni, na roho( pumzi ya uhai) inarudi kwa aliyeitoa,
Mungu. PERIOD.
Uungu wa Yesu: Biblia inasema kwa unagaubaga Yesu ni Mungu (Yohana1:1,2 na 14) wakati
freemasonry wanamweka Yesu katika hali ya mfanano na waanzilishi wa
dini mbalimbali kama vile Buddha, Mohammed, Confucius, Tao nk,kama
tulivyoona hapo awali. Kufuru kubwa hii!!
Freemasons wanasema “ mtu mkamilifu ni Kristo na Kristo ni Mungu. Hii ni haki ya kuzaliwa na hitimisho la kila mwanadamu”..\..\Pictures\Kufuru Masons.png J.B. Buck Mystic Masonry pg 86 Linganisha
na kanisa Katoliki linavyosema “mwana wa Mungu akawa mwadamu ili
ikiwezekana tuwe Mungu” “Mwana wa pekee wa Mungu akitaka kutufanya
tushiriki utukufu wake akachukua hali/utu yetu hivyo akafanyika mtu ili
ikiwezekana watu wote tuwe miungu” “shangaeni na kushangilia: tumekuwa
Kristo”..\..\Pictures\Kufuru RC.png Catechism of Catholic Church New York: Image books 1995 pg 129,228
Lucifer: kuinuliwa na kutukuzwa kwa shetani...\..\Pictures\Nyoka.png kunamengi katika hili huwezi kuamini!
E. HITIMISHO:
Ni wajibu wa mkristo wa kweli kufunua (expose) hila zote za muovu bila kuhukumu (non-judgmental) kama
alivyofanya Yesu alipokuwa katika mwili na ikafanywa vivyo hivyo na
wanafunzi wake wa awali japo karibu wote iliwagharimu maisha yao. Yote hii ni ili watu waijue kweli, na kweli hiyo iwaweke huru.
Joka
alimpa mnyama kiti, uwezo na mamlaka yake naye mnyama hutumia njia
nyingi katika kuwanywesha mvinyo wa uasherati wake walimwengu wasiokuwa
makini na neno la Mungu, Yehovah.
Tumegusia
nyanja moja tu, freemasonry; Shetani kupitia Kanisa Katoliki na hususan
Jesuit, anayotumia kuudanganya ulimwengu, TUWEMACHO. Shetani hana
jipya ila ni kuiba, kuua na kuharibu! Wokovu wa mwanadamu umo katika
Yesu Kristo peke yake, maana yeye alikuja kuokoa kilichopotea Mathayo 18:11, Luka 19:10
Sunday, June 3, 2012
Friday, May 25, 2012
Mambo 5 ambayo Watanzania wanayakataa na hawatovulimia tena chini ya CCM
Posted: 25 May 2012 10:28 AM PDT
Na. M. M. MwanakijijiNimejaribu kutafakari kwanini kuna wimbi la watu kuikataa CCM na serikali yake kwa nguvu zaidi wakati huu kama ilivyokuwa mwaka 1995. Miaka mingi imepita lakini wakati mwaka 1995 ilikuwa kwa kiasi kikubwa ni kutumia uhuru wa kujiunga na chama kingine zaidi ya CCM safari hii kuna kitu tofauti kinajionesha wazi. Watanzania kwa maelefu – mijini na vijijini, wazee kwa vijana, wake kwa waume – wameamua kuiambia CCM “Bye Bye” na kujiunga kwa mbwembwe kwenye CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Nilipotafakari zaidi mang’amuzi haya mapya yanayoendelea nimejikuta nikirudi nyuma zaidi karibu miaka hamsini iliyopita.
Vitu vile vile vilivyowafanya Watanganyika na Waafrika kwa ujumla kuukataa ukoloni na serikali yake vimeanza kukataliwa tena na safari hii si dhidi ya ukoloni bali dhidi ya utawala ambao umegeuka na wenyewe na mwelekeo wa ukoloni usiopingika. Mambo haya matano manne kati yake yanajulikana sana kwani yamekuwepo katika tangazo la Azimio la Arusha la mwaka 1967 na ambalo ukweli wake bado unasimama.
Katika Azimio la Arusha tulitangaza hivi: Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha na tumepuuzwa kiasi cha kutosha… Ni unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe, tunyanyaswe na tupuuzwe. Sasa tunataka mapinduzi ili tusionewe, tusinyanyaswe na tusipuuzwe tena!” Hivyo mambo manne ya kwanza ambayo Watanzania wanayakataa ni kuonewa, kunyonywa, kunyanyaswa na kupuuzwa. Tuyaangalie haya kidogo:
1. Tumeonewa
Watanzania wameamua kukataa kuonewa na watawala wao. Kuonewa huku kunakuja kwa aina nyingi sana lakini kubwa ni ile hisia ya tofauti kati ya watawala na watawaliwa ambapo watawala ambao kutokana na nafasi zao wanajiaminisha kuwa wanaweza kufanya lolote, kwa yeyote aliye chini yao. Mifano miwili iko wazi sana kuwakilisha hili. Wengi mnakumbuka yule DC aliyemzaba kibao baba wa watu mbele za watu na hakukemewa na Rais Kikwete wala viongozi wengine. Wapo watu wengi sana ambao wamejikuta wakionewa na watawala iwe katika ajira, biashara au hata nafasi tu. Matokeo yake Watanzania hawa wamejikuta wakilazimika (sijui kama ni sawa kuita kulazimika au kulazimishwa) wanatafuta kujipendekeza kwa watawala hao ili ‘mambo yao yawanyokee’.
Ni uonevu wa kiutawala ambao unalazimisha wananchi wa kawaida kuwa kama vijakazi mbele ya watawala. Ni uonevu unaowafanya watawala waweze kutoa maagizo yoyote kwa sababu ya utawala wao. Tumeona watu wetu walivyohamishwa kwa nguvu sehemu mbalimbali ili kupisha ‘wawekezaji’ tumeona mahali ambapo watu wamenyang’anywa maeneo waliyokuwa wanalima mazao ya chakula ili waje watu kulima mazao ya ‘mafuta’! Sasa Watanzania hawa wameamua kukataa kuonewa tena!
2. Tumenyonywa
Sasa mojawapo ya mambo ambayo Azimio la Arusha lilipambana nalo ni kile Mwalimu alikiita “exploitation of man by man’. Kwa wanaokumbuka vizuri tatizo kubwa la ubepari mahali pote duniani ni kuwa unatengeneza tabaka la wanaofanya kazi na kuhenyeka na wanaokunja nne na kubweteka wakila matunda ya jasho la wengine. Unyonyaji huu ambao umesifiwa kuwa ni ‘ubepari” au mfumo wa mtaji (capitalism) umesifiwa sana kwa kuinua maisha ya watu hasa kwa kuongeza ushindani. Lakini utabiri wa Nyerere juu ya mfumo huu umekuwa wa kweli na matokeo yake miaka hamsini tangu aandike yale yanatimia. Nashauri watu wasome “A Rational Choice” ambapo Mwalimu anaelezea kwanini kwa taifa changa kama la kwetu uchaguzi sahihi ulikuwa ni ujamaa na si ubepari.
Sasa ubepari una matokeo mazuri vile vile hasa kwenye level ya ushindani. Lakini ni ushindani wa nani hasa? Nyerere anaelezea kwa kweli siyo ushindani wa mtu mwenye biashara ndogondogo na kampuni kubwa ya kimataifa! Huwezi kumshindanisha mchimba madini wa Chunya na Barrick au Ango-Ashanti Gold. Huyu mchimba madini hana ubavu! Huwezi kushindanisha kwa mfano kiwanda kidogo cha kutengeneza baskeli na kiwanda kikubwa cha kutengeneza baskeli cha huko Marekani. Matokeo ya ushindani huu mara zote ni kuwa makampuni makubwa ndio yatanufaika na wafanyabiashara ndogo wataendelea kufanya biashara ndogo au – kama Nyerere alivyoonesha kwenye maandishi hayo – yule mkubwa anapoamua kumnunua yule mdogo!
Dunia imetambua hili na miaka kama kumi iliopita mwamko wa kuupinga huu ubepari wa kimataifa umeibuka katika kampeni ya kupinga utandawazi ambapo ubepari ulivuka mipaka ya nchi na kuanza kuingia kwa nguvu kwenye nchi maskini ambapo kweli walileta viwanda vikubwa lakini wakati huo huo kuua kabisa viwanda vya ndani na ushindani mdogo wa ndani. Kumbe unyonyaji ambao umetokea sasa siyo wa mtu na mtu tena bali ni unyonyaji wa makampuni makubwa ya kimataifa dhidi ya vijimiradi vidogo vya baba, mama na vijana wetu!
Hivyo, Watanzania wanakataa kunyonywa; wanakataa kugeuzwa vijakazi na watumishi wanaovaa suti za kupendeza za makampuni makubwa ya kimataifa ambayo kutokana na sera zilizopo yanaweza kuzalisha nchini nakuondoa faida yote kwa asilimia 100 kuipeleka kwao. Yaani, makampuni ambayo yamekuja na kugeuza Tanzania shamba lao. Na hili linatisha zaidi hasa pale ambapo serikali inakubali kampuni ya kigeni kukodi eneo la ardhi na kupanda mazao ya chakula ambayo soko lake kwa asilimia 100 ni kwenda kwenye nchi zao! Kuna uwezekano huko baadaye watu watu wakawa wanakufa njaa wakati mashamba ya wageni yanazalisha chakula na kupelekwa nje na watu wetu watakapoanza kulalamika wataambiwa “ndio mkataba unavyosema!”
Hivyo, wanakataa kuonewa kwa namna yoyote ile kwani wameshaonewa kiasi cha ‘kutosha’!
3. Tumenyanyaswa
Sasa hili la kunyanyaswa linaendana na hilo la kunyonywa. Wakati hili la kunyonywa linahusiana na mahusiano ya kiuchumi hili la kunyanyaswa linahusiana na mahusiano ya mtu na mtu katika jamii na hasa kati ya wale walionacho na wale wasionacho. Wale walionacho wanaweza kujipatia lolote katika jamii wakati wale wenzangu na miye inabidi wajitahidi sana kupata kidogo wanachokipata. Ni unyanyasaji wa kimfumo. Fikiria kwamba hakuna kiongozi mkubwa wa kitaifa ambaye anata tatizo la umeme au maji! Yeye ameweza kujiwekea posho au utaratibu wa kununua genereta na mafuta yake (iwe nyumbani au ofisini) na ana uhakika wa usafiri wake (lipo gari la serikali kumpeleka kokote). Mtu wa kawaida hata hivyo anapata shida ya maji na umeme kwa sababu vitu hivyo ni anasa kwake na anapojaribu kuvitafuta ni manyanyaso ya kila namna.
Lakini unyanyasaji mwingine ambao uko wazi – na watu wenye madaraka hauwagusi – ni kutotendewa kwa heshima wanakofanyiwa wananchi wanapotaka huduma mbalimbali. Hivi majuzi nilikuwa na mjadala mnono kwenye FB yangu na mambo mengi yakawa dhahiri. Mtu anapoondoka nyumbani kwenda kutafuta huduma hasa kwenye taasisi ya serikali anatakiwa ajiandae kihisia na kiakili; kuna kuzungushwa, kuna kucheleweshwa, kunakusumbuliwa kiasi kwamba anaporudi nyumbani anakuwa hoi bin taaban si kwa sababu ya safari bali sababu ya watu aliokutana nao. Ni kunyanyaswa kunakofanyiwa mtu duni kulinganisha na heshima anayopewa mtu ‘anayejulikana’. Hili Watanzania wanalikataa.
4. Tumepuuzwa
Sasa hayo matatu ya kwanza yote yanahusiana moja kwa moja na jinsi mtu anavyotendewa. Lakini hakuna kitu kinachoudhi zaidi kama mtu kupuuzwa. Unapompuuza mtu kimsingi unamuondolea umuhimu wake alionao na unaondoa hisia yoyote ya kuonekana ana thamani. Kumpuuza mtu ni kumfanya mtu si kitu; anachosema hakina maana, matatizo yake hayana mpango, na malalamiko yake ni ya kijinga. Mfumo unapompuuza mtu unamfanya mtu au raia ajihisi ameondolewa thamani.
Wakoloni walifanikiwa sana katika kumpuuza mtu mweusi; walimpuuza kiasi kwamba athari zake zilibakia kwa muda mrefu kwenye fikra za watu wetu. Hata leo hii utakutana na watu ambao wanatafuta kuonekana wana thamani mbele ya wazungu kuliko inavyoweza kuelezeka kiakili. Mkoloni alimfanya mtu wetu duni kwa mifumo aliyomtengenezea na kwa jinsi alivyomhudumia. Kupuuzwa basi ni jambo ambalo mwanadamu hajaumbwa kuishi nalo. Huwezi kumpuuza mwanadamu kwa muda mrefu kabla mwanadamu huyo hajaamua kuasi.
Hata watumwa walipuuzwa kwa muda mrefu lakini hatimaye kizazi chao kilikuja kuasi. Sasa kupuuzwa huku katika nchi yetu kunaonekana sana katika mambo mawili makubwa (nitaacha wengine wayaongeze). Kwanza ni katika ubora huduma ambazo serikali inatoa kwa wananchi wake. Ukiangalia vizuri sana utaona kuwa utawala uliopo haujaweka msisitizo katika ubora wa huduma bali wingi wa huduma. Shule, hospitali, barabara, nishati, n.k vyote vipo na vingi vimeongezwa lakini suala la ubora linaudhi. Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu katika ripoti zake mbalimbali amekuwa akigusia hili kwa namna moja au nyingine anapolinganisha fedha iliyotumika na ubora wa kitu kilichonunuliwa au kupatikana (value for money comparison). Hili la ubora linaonekana sana kwa kukosekana kwa mifumo mizuri ya Quality Assurance (QA) na hivyo taasisi na ofisi nyingi za serikali kukosa usimamizi mzuri wa huduma wanazotoa.
Sasa Watanzania hawataki kuendelea kupuuzwa. Kwani kupuuzwa kunakoudhi zaidi ni kule kwa wao wananchi kuonekana wasumbufu; maswali yao kutupwa pembeni na wanapouliza kujihisi kama wanamuuliza mfalme wa mbinguni. Habari zilizoripotiwa kuhusu Wassira hivi karibuni kwenye jimbo lake kunatudokeza. Siyo mara moja kiongozi wa umma anaposimama kuulizwa maswali anaanza kuonesha kumpuuza mwananchi aliyeuliza swali hilo. Ni nani amesahau jinsi yule mtoto wa shule alivyomuuliza swali Lowassa na kujiletea matatizo? Ni mara ngapi watu wanaogopa kuuliza maswali kwa sababu watu wa ‘usalama’ watawaita pembeni na kuwabana? Hadi waandishi wa habari wanaogopa kuuliza maswali wanapokuwa mbele ya watawala na badala yake wanakuja kama kasuku kutuambia alichoongea mkubwa na kuacha maswali yaendelee kuning’inia au wanakimbilia kuandika maswali kwenye tahariri zao badala ya kumuuliza muusika na kumbana atoe majibu. Wanaogopa kupuuzwa!
Lakini maelfu wameamua kukataa kuendelea kupuuzwa! Hakuna utawala ulioweza kudumu huku ukipuuza wananachi wake au kundi kubwa la wananchi wake.
Sasa hayo manne yote yanapatikana ndani ya azimio la Arusha. La tano hata hivyo naweza kusema ndio linakataliwa zaidi na kizazi cha sasa nalo ni kudanganywa.
5. Tumedanganywa
Watanzania wamechoka kudanganywa na kuahidiwa mambo yasiyoweza kufanyika. Lakini ni kudanganywa kunakofanyika kiutalamu sana na sasa wananchi wamegundua. Sasa kudanganywa kunakofanywa mara nyingi ni kule kunakotelewa na wenye vyao kwa namna ya ahadi. Watawala wanaposhindwa kutoa majibu ya kueleweka wao hutoa ahadi.
Sasa ahadi zinaficha ukweli wa uzembe na kushindwa kwa watawala. Fikiria pembezoni ya makazi ya polisi pale Msimbazi ambapo kwa miaka nenda palikuwa pamerundikana vinyesi na uchafu. Sasa mahali kama hapo unaweza kuuliza nani au kumuuliza mtu nini akakupa jibu la ukweli zaidi ya kutoa ahadi? Kwa mfano ukiendea na kukutana na S/M Selous Namtumbo utashangaa nini ukiona watoto wa darasa la tano wanasoma chini ya paa la majani, hakuna ukuta wala hifadhi nyingine yoyote? mtu akiuliza ‘kwanini’ jibu la kiongozi au mtawala litakuwa nini kama siyo ahadi? Sasa wananchi wameshaanza kugundua kuwa ahadi = uongo wa kinamna.
Kwanini wanakimbilia CDM?
Lakini sasa kwanini ni CDM? Watu wengi wanaanza kujiaminisha kuwa CDM nayo inayakataa mambo hayo hayo. Wananchi wanakimbilia CDM kwa sababu wanaamini itawaongoza kuelekea “Uhuru wa pili”. Kama wazee wetu walivyokimbilia TANU dhidi ya mkoloni leo wapo watu wanakimbilia CDM kwa sababu wanaanza kuamini kuwa labda nayo itawaongoza katika kujijengea kujitegemea, kujiheshimu na kuthaminiwa.
Hata hivyo naamini changamoto kubwa zaidi ya CDM siyo kufanya maandamano au kuvaa magwanda bali ni jinsi gani itaongoza watu kuanza kujiletea maandamano. Ni lini kwa mfano tutaona viongozi wake wakifanya kama alivyofanya Nyerere katika ziara yake ya pili ya vijiji vya Tanzania mwanzoni mwa miaka ya sabini ambapo alishiriki kazi za ujenzi wa taifa. Kwa mfano, lini tutaona vijana wa CDM wakihamasika kupaka rangi shule, kuleta matofali, kuziba mitaro au hata kujenga kliniki au kuboresha kliniki. Je inatosha kufanya maandamano na kuhamaisha watu kujivua gamba kama kuvaa ganda mwisho wake ni kujisikia raha tu lakini siyo kufanya kitu?
Kumbe Watanzania wanapokataa haya mengine kimsingi wanakubali jambo linalowezekana. Swali ni lipi litawezekana chini ya CDM sasa kabla ya 2015? Historia itaamua. Vyovyote vile itakavyokuwa Watanzania hawatokubali tena kuonewa, kunyanyaswa, kupuuzwa, kunyonywa na kwa hakika hawatokubali kudanganywa tena. Wanataka vitendo vyenye kuonesha kuwa watawala na wale wanaotaka kuja kutawala wanawapa thamani wanayostahili, wanawajali na kuwaheshimu kama wananchi.
Ndio msingi wa kuwa gwandalized!
Pep Guardiola waiting for club to "seduce" him
*Coach Pep Guardiola
Departing Barcelona boss Pep Guardiola says he will be ready to
return to management in the future for a club that "seduces" him.
The 41-year-old, who is quitting Barca to spend time away from the game, takes charge of his final match on Friday."I will receive all calls with pleasure, but for the next [few] months I have to recharge my batteries and my mind," said Guardiola.
"I will be ready [to return] if one club wants me and seduces me."
Guardiola announced that he
would be stepping down from his role at the Nou Camp at the end of
April, bringing an end to a hugely successful four-years.
The former midfielder is the most successful coach in
Barcelona history, with three league titles, two Champions Leagues and a
Copa del Rey among his 13-trophy haul.He has a chance to end his reign in style on Friday by beating Athletic Bilbao in the Copa del Rey final at the Vicente Calderon Stadium.
A win will also neatly book-end his time with the club as a 4-1 cup victory over Athletic three years ago gave him his first trophy.
It also gives Barca a chance to provide a positive end to a disappointing season, which has seen them relinquish both their La Liga and Champions League trophies, with Real Madrid winning the former and Chelsea eliminating them in the semi-final of the latter.
"I've got the feeling we are very well prepared for this final," added Guardiola. "A final is always there to be won."
Guardiola's Barca side have not only been lauded for their success but also their style of play, with midfield duo Andreas Iniesta and Xavi and forward Lionel Messi rising to prominence under his management.
He was particularly close to Messi - describing him as "the best ever" player -while the Argentine suggested Guardiola was the main factor behind Barca's recent success.
Guardiola played for the Catalan club during the 1990s and early 2000s. He became Barca B coach in 2007 before taking control of the first team in 2008.
He will be succeeded at the Nou Camp by his assistant, Tito Vilanova.
Managerless European clubs
- Chelsea: Caretaker Roberto di Matteo put himself in serious contention for the Blues job by winning the Champions League, but owner Roman Abramovich has yet to decide on a permanent successor to Andre Villas-Boas.
- Liverpool: The Reds owners are spreading the net wide in search for a replacement for Kenny Dalglish. Wigan boss Roberto Martinez is at least one manager to have spoken to the Anfield club.
- AS Roma: The Italian club have been without a boss since Luis Enrique quit less than a year into his reign. Guardiola briefly played for them in the 2002-03 season.
Subscribe to:
Comments (Atom)


