Katibu
Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka
kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho juzi kati
kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya
serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa
Mbunge wa Arusha mjini.
Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzake
Dk. Slaaa akasalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo
Baadhi ya watu waliokuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kutaka kujua kilichokuwa kikiendelea
Kisha akazungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi
wafuasi wakasukuma gari lake wakati akiondoka
Kwa hisani ya Nkoromo blog
No comments:
Post a Comment