Thursday, July 5, 2012

Okwii athibitisha kwa simu kuwa ana mkataba na Simba na si uvumi ulio enea kuwa amehamia Yanga.

 Huu Ndio Mkataba kati ya Okwi na Simba ambao umeoneshwa Muda huu
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Okwi Live wakati makamu mwenye kiti wa Club ya simba G.Nyange alipo mpigia simu, Okwi akiwa kwao Uganda 
 
 
 Makamu Mwenyekiti wa Simba akionesha Mkataba wao na Okwi 
 
 
Huu ndio mkataba wote kati ya Okwi na Club ya Simba 

No comments: